Habari RFI-Ki

Wafugaji wa kuku nchini kenya watozwa ushuru

Sauti 09:48
Kuku wanaofugwa
Kuku wanaofugwa RFI

Makala haya “Habari Rafiki”, yanaagazia hatua ya serikali za kaunti nchini Kenya ya kuwatoza ushuru wafugaji wa mifugo mbalimbali, wakiwemo wafugaji wa kuku, hayo ni wakati bunge la seneti likijiandaa kutoa uamzi wake kuhusu mswada huo wa sheria.Ungana na Martha Saranga.............