Habari RFI-Ki

Migogoro barani Afrika

Sauti 10:02
Uhasama kati ya makabila, utofauti katika maoni,.... ikiwa ndio mwanzo wa migogoro barani Afrika
Uhasama kati ya makabila, utofauti katika maoni,.... ikiwa ndio mwanzo wa migogoro barani Afrika RFI

Makala haya “Habari Rafiki”, yanaangazia migogoro inayokumba baadhi ya mataifa barani Afrika, chanzo cha migogoro, na mengeneyo....Ungana na Ebby Shabani Abdallah.....