Habari RFI-Ki

Vitendo vya ubakaji

Sauti 09:47
Wanawake na wasichana wa India wakiandamana dhidi ya vitewndo vya ubakaji, mjini New Delhi
Wanawake na wasichana wa India wakiandamana dhidi ya vitewndo vya ubakaji, mjini New Delhi

Makala haya “ Habari Rafiki”, yanaangazia kuhusu vitendo vya ubakaji ambavyo vimekithiri duniani. India inaongoza katika matukio kama hayo, baada ya viongoizi wa kimila kuamuru watu 13 kumbaka mwanamke, kama adhabu ya kukiuka sheria za kimila baada ya kufunga ndoa na mwanamume kutoka ukoo mwingine.Ungana na Flora Mwano.........