Lugha mama mshuleni nchini Kenya
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 10:14
Wizara ya kenya imependekeza kuwa wanafuzi wa darasa la kwanza hadi la nne nchini humo watafunzwa kwa lugha za mama au za kikabila wakiwa mashuleni, pendekezo hili limezua mjadala mkubwa nchini humo. Hili ndio tunakuwa tukijadili katika kipindi chetu cha “Habari Rafiki” kwa leo.Ungana na Ebby Shabani Abdallah.......