Habari RFI-Ki

Maadhimisho ya muungano wa vyama CCM, TANU na ASP

Sauti 10:10
Viongozi mbalimbali wa CCM toka ngazi ya taifa hadi ngazi ya wilaya
Viongozi mbalimbali wa CCM toka ngazi ya taifa hadi ngazi ya wilaya RFI

Makala “Habari Rafiki”, yanaangazia juu ya madhimisho ya miaka 37 ya muungano vyama CCM, TANU na ASP. Sherehe za maadhimisho hayo zilifanyika jumapili februari 2, lakini muungano huo ulifanyika tarehe 05 februari mwaka 1977.Ungana na Ebby Shabani Abdallah..........