Jua Haki Zako

Uhuru wa vyombo vya habari

Sauti 09:57
Uhuru wa vyombo vya habari
Uhuru wa vyombo vya habari RFI

Juma hili katika makala haya ya Jua Haki Zako tunakuletea machache juu ya uhuru wa vyombo vya habari, ikijulikana kuwa uhuru wa vyombo vya habari ni chachu ya demokrasia, sikiliza wadau wanasema nini kuhusu mada hi.Mtayarishaji wa makala Karume Asangama.....