Afrika Ya Mashariki

Jamii ya Banyamulenge

Sauti 09:21
Baadhi ya raia kutoka jamii ya Banyamulenge katika eneo la Minembwe, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Baadhi ya raia kutoka jamii ya Banyamulenge katika eneo la Minembwe, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo RFI

Makala haya “Afrika ya Mashariki”, yanaangazia juu ya changa moto za siasa na kijamii katika ukanda wa maziwa makuu, sehemu hii ya kwanza “Afrika Mashariki”, yanaangazia juu ya sababu za raia wa Congo kutoka jamii ya Banyamulenge kwa miaka mingi kukabiliwa na changa moto ya kutoaminiwa na raia kutoka jamii zingine nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Ungana na Julian Rubavu.........................