Habari RFI-Ki

Siku ya kimataifa ya ugonjwa wa saratani

Sauti 09:38
Saratani ya ngozi
Saratani ya ngozi RFI

Makala haya ya “Habari Rafiki”, yanaangazia kuhusu ugonjwa wa saratani, hayo ni wakati februari 04 kila mwaka ulimwengu unasheherekea siku ya kimataifa ya ugonjwa wa saratani, lakini wengi hawana ufahamu wa ugonjwa huo.Ungana na Sabina Nabigambo......................