Habari RFI-Ki

Siku ya kimataifa dhidi ya keketaji wa wanawake

Sauti 09:07
Mkutano wa wanawake wa kitahtmini jinsi ya kupiga vita ukeketaji nchini Guinea
Mkutano wa wanawake wa kitahtmini jinsi ya kupiga vita ukeketaji nchini Guinea RFI

Makala haya “Habari Rafiki”, yanaangazia siku ya kimataifa ya kupiga vita ukeketaji wa wanawake, vitendo ambavyo vimekithiri barani Afrika, na katika baadhi ya mataifa ya ulimwengu wa tatu.Ungana na Martha Saranga.............