Habari RFI-Ki

Kesi ya Bosco Ntaganda

Sauti 09:36
Bosco Ntaganda, afisa wa zamani wa jeshi na baadae kuasi, anakabiliwa na mashtaka zaidi 11
Bosco Ntaganda, afisa wa zamani wa jeshi na baadae kuasi, anakabiliwa na mashtaka zaidi 11 RFI

Makala ya “Habari Rafiki”, yanaangazia juu ya hatua ya kupandishwa kizimbani kwa mbabe wa kivita nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Bosco Ntaganda, maarufu kama “Terminator” kwenye mahakama ya kimataifa ya uhalifu ya ICC juu ya tuhuma za mauaji, ubakaji, uhalifu wa kivita na mengineyo,.......Ungana na Ebby Shabani Abdallah............