Jua Haki Zako

Wanawake katika mapambano

Sauti 09:41
Picha ya zamani ya Tirunesh Dibaba moja kati ya wanawake wa nchini Ethiopia ambae alijinyakulia medali ya dhahabu katika mashindano ya kimataifa ya mbio ndefu tangu mwaka 2007, lakini alishindwa mbio hizo miaka ya 2009 na 2011
Picha ya zamani ya Tirunesh Dibaba moja kati ya wanawake wa nchini Ethiopia ambae alijinyakulia medali ya dhahabu katika mashindano ya kimataifa ya mbio ndefu tangu mwaka 2007, lakini alishindwa mbio hizo miaka ya 2009 na 2011 AFP

Leo katika makala haya”Jua Haki Zako”, tunakuletea wanawake katika mapambano ambayo ni onyesho la picha kutoka mwaandishi wa habari mpiga picha kutoka Ufaransa, Pierre Ginet...onyesho lenye madhumuni ya kutoa taarifa juu ya wanawake walio mstari wa mbele katika kuleta mabadiliko chanya duniani.Ungana na Karume Asangama................