Afrika Ya Mashariki

Jamii ya Banyamulenge

Sauti 08:20
Baadhi ya raia kutoka jamii ya Banyamulenge katika eneo la Minembwe, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Baadhi ya raia kutoka jamii ya Banyamulenge katika eneo la Minembwe, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo RFI

Makala haya “Afrika ya Mashariki”, yanaangazia juu ya jamii ya Banyamulenge, m'moja kati ya jamii ao makabila ya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuhusu maisha yao kijamii na jamii zingine, na jinsi walijikuta wameyahama makaazi yao na kukimbilia katika nchi jirani.Ungana na Julian Rubavu.........................