Habari RFI-Ki

Malalamiko ya wazazi wa Kenya

Sauti 09:39
Wanafunzi wakiwa darasani
Wanafunzi wakiwa darasani RFI

Makala haya “Habari Rafiki”, yanaangazia juu ya kiliyo cha wazazi wa nchini Kenya wakilalamikia dhidi ya hatua ya serikali ya Kenya ya kuongeza mara dufu ada ya shule.Ungana na Ebby Shabani Abdallah..................