Habari RFI-Ki

Visa vya kujiua kwa mashabiki wa vilabu vya Ulaya

Sauti 09:21
Mshambuliaji wa Chelsea Hazard akipachika bao kwenye nyavu za Newcastle
Mshambuliaji wa Chelsea Hazard akipachika bao kwenye nyavu za Newcastle RFI

Makala haya “Habari Rafiki”, yanaangazia juu ya ongezeko la visa vya mauaji vinavyoshuhudiwa barani Afrika kwa mashabiki wa vilabu vya Ulaya, hasa Uingereza.Ungana na Ebby Shabani Abdallah.............