Mapenzi ya jinsia moja

Sauti 09:46
Ndoa ya Jinsia moja
Ndoa ya Jinsia moja RFI

Makala haya ya Habari Rafiki” yanaangazia juu ya mswada wa sheria unaopinga mapenzi ya jinsia moja nchini Uganda. Wabunge wamepasisha hivi karibuni mswada huo, lakini rais amekua akipata ushawishi kutoka mataifa yenye nguvu duniani ili asisaini mswada huo. Hata rais Barack Obama amemuonya rais Museveni asithubutu kutia saini kwenye mkataba unaopinga mapenzi ya jinsia moja.Ungana na Flora Mwano.....................