Jua Haki Zako

Usawa katika jamii

Sauti 08:00
Watu wenye ulemavu
Watu wenye ulemavu RFI

Makala haya “Jua Haki Zako”, yanaangazia kuhusu umuhimu wa kuzingatia usawa katika jamii...kwa sababu hakuna mtu aliyetaka kuwa mtu mwenye ulemavu...leo inaweza kuwa yeye kesho ikawa wewe...Watu wenye ulemavu pia ni binadamu.Ungana na Karume Asangama................