Habari RFI-Ki

Bunge la katiba mpya tanzania

Sauti 09:34
Bunge mjini Dodoma, nchni Tanzania
Bunge mjini Dodoma, nchni Tanzania RFI

Makala haya ya “Habari Rafiki”, yanaangazia kuhusu kikao cha bunge la katiba kwa kujadili rasimu ya katiba mpya, , moja kati ya masuala nyeti katika kikao hiki ni muundo wa serikli unaowafaa wa tanzani.Ungana na Ebby Shabani Abdallah....................