Afrika Ya Mashariki

Jamii ya Banyamulenge (sehemu ya 3 na ya mwisho)

Imechapishwa:

Makala haya ya "Afrika ya Mashariki" yanaangazia sehemu ya tatu na yamwisho juu ya changamoto za kisiasa na kijamii kwenye ukanda wa maziwamakuu ikilengwa jamii ya Banyamulenge raia wa Congo DRC. Kwenye sehemuya tatu sikiliza mazungumzo yetu na mtafiti wa maisha yajamii ya Banyamulenge. Pia utasikia serikali ya Burundi na chama chaFNL wote wakizungumzia juu ya Banyamulenge.Ungana na Juliana Rubavu............. 

Baadhi ya raia kutoka jamii ya Banyamulenge katika eneo la Minembwe, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Baadhi ya raia kutoka jamii ya Banyamulenge katika eneo la Minembwe, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo RFI