Habari RFI-Ki

Sheria inayopiga marufuko mavazi mafupi

Sauti 09:27
Wanawake na wasichana wakivaa nguo fupi
Wanawake na wasichana wakivaa nguo fupi RFI

Makala haya ya “Habari Rafiki”, yanaangazi sheria mpya iliyoidhinishwa nchini Uganda inayopiga marufuku mavazi ya nguo mafupi kwa wanawake na wanaume, mavazi ambayo yanachochea kukuza vitendo vya ngono.Ungana na Sabine Nabigambo................