Habari RFI-Ki

Malalamiko ya wajumbe wa baraza maalumu la katiba

Sauti 10:01
Bunge mjini Dodoma, nchni Tanzania.
Bunge mjini Dodoma, nchni Tanzania. RFI

Makala haya ya “Habari Rafiki”, yanaangazia juu ya malalamiko ya wajumbe wa baraza maalumu la katiba nchini Tanzania kuhusu posho wanayopewa wakisema kwamba ni ndogo ikilinganisha na ile waliyokua wakipewa wajumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba.Ungana na Martha Saranga.....................