Habari RFI-Ki

Mashoga wakabiliwa na sheria kali nchini Uganda

Sauti 09:46
Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni
Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni RFi

Makala haya “Habari Rafiki”, yanaangazia hatua ya rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, kuweka saini kwenye sheria iliyoleta utata na baadhi ya mataifa ya Ulaya, mkiwemo Marekani, ya kupinga mapenzi ya watu wa jinsia moja.Ungana na Flora Mwano,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,