Habari RFI-Ki

Rasimu ya pili ya katiba ya Tanzania

Sauti 09:21
Bendera ya taifa la Tanzania
Bendera ya taifa la Tanzania

Makala haya ya “Habari Rafiki”, yanaangazia kuhusu uzinduzi wa kampeni ya kitaifa ya kusambaza uelewa wa rasimu ya pili ya katiba ya Tanzania kwa wananchi.Ungana na Martha Saranga...........................