Muziki Ijumaa

Happy Famba msanii wa Burundi anaye tamba katika tasnia ya Muziki

Imechapishwa:

Makala haya ya Muziki Ijumaa tunamleta kwenu msanii wa tasnia ya Muziki nchini Burundi, Happy Famba, ambaye anazungumzia kuhusu harakati zake za muziki na ubunifu wake katika kuunda kundi la Multi Talent.

Msanii wa tasnia ya Muziki nchini Burundi Happy Famba
Msanii wa tasnia ya Muziki nchini Burundi Happy Famba RFI-Billy
Matangazo ya kibiashara