Matukio yaliyojiri Duniani wiki hii

Sauti 21:35
Mji wa Dar es Salaam ukikumbwa na mafuriko kutokana na mvua zinazonyesha, aprili 12 mwaka 2014.
Mji wa Dar es Salaam ukikumbwa na mafuriko kutokana na mvua zinazonyesha, aprili 12 mwaka 2014. WISSING Claire/RFI

Katika Makala ya mtazamo wako kwa juma hili, tunaangazia Mafuriko ya Maji jijini Daresalaam nchini Tanzania, serikali kuthibitisha kuwa zaidi ya watu ishirini walipoteza maisha, na miundo mbinu kadhaa zikiwemo barabara kuharibiwa.Lakini pia Hali ya vuta nikuvute kati ya serikali ya Burundi na Umoja wa mataifa baada ya serikali hiyo kumfukuza nchini mwake afisa wa Usalama Paul Debbie, hali kadhalika kuuawa kwa kiongozi wa kundi la mai mai Paul Sadala maarufu Morgan Huko DR Congo.Kimataifa Marekani, Muungano wa Ulaya, Ukraine na Urusi kuafikiana kuhusu mustakabali wa Ukraine.Ungana nami kusikiliza hapa,..Karibu