Changamoto za kimazingira zinazoendelea Kuwakabili Wakulima Wadogo wadogo Ulimwenguni

Sauti 10:16
Mkulima akiwa Shambani
Mkulima akiwa Shambani Reuters

Sekta ya Kilimo imekuwa na mchango mkubwa katika kukua kwa uchumi katika bara la afrika, karibu asilimia 80 ya Afrika wanaishi kwa kutegemea, lakini kutokana na changamoto mbalimbali zinazoikabili wakulima wadogo wadogo kwa kiasi kikubwa kumchangia kurudisha sekta ya kilimo nyuma,Basi wakati ulimwengu ukiwa unadhimisha siku ya Wakulima Wadogo Ulimwenguni,makala ya mazingira leo dunia yako kesho itangazia juu ya changamoto hizo.