Afrika Ya Mashariki

Sekta ya habari Tanzania

Sauti 09:29
Mlima wa Kilimandjaro nchiniTanzania.
Mlima wa Kilimandjaro nchiniTanzania. Getty Images

Makala hii ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu yasekta ya habari nchini Tanzania. Ambapo sheria ya habari ya mwaka 1976 inadaiwa kuwa kandamizi kwa vyombo vya habari. Serikali inateteasheria hiyo. Na jamii inapinga.