Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Mvua za juu ya Wastani zitokanazo na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Sauti 10:22
Moja ya maeneo ya jiji la Dar es salaam nchini Tanzania ambayo yamekumbwa na mafuriko yanayotokana na mabadiliko ya tabia nchi.
Moja ya maeneo ya jiji la Dar es salaam nchini Tanzania ambayo yamekumbwa na mafuriko yanayotokana na mabadiliko ya tabia nchi. RFI

Nchi za Afrika Mashariki ni miongoni mwa nchi Barani Afrika amabazo zilizoathirika zaidi na mabadiliko ya tabianchi. Utafiti wa hivi karibuni umebaini kuwa mabadiliko ta tabia nchini kwa kiasi kikubwa kumechangia Mvua zinazoendelea kunyesha katika nchi nyingi katika ukanda wa Afria mashariki na kati.mvua hizi zimekuwa zikisababisha madhara makubwa katika mazingiraMakala ya Mazingira Leo Dunia Yako kesho inagazia ni jinsi gani naama nchi ya Tanzania inavyo kabiliana na mvua za kupita wastani zitokanazo na mabadiliko ya tabia nchi.