Afrika Ya Mashariki

Maendeleo endelevu katika Jumuiya ya Afrika Mashariki

Sauti 09:31
RFI

Kwenye makala ya afrika ya mashariki leo tunaangazia juu ya changamotoza Utawala bora  na  haki za binadamu  kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki. Bunge la Afrika Mashariki limedhamiria kuhakikisha raiawa jumuiya hiyo wanapata maendeleo endelevu kupitia utawala bora nahaki za binadamu.