Changu Chako, Chako Changu

Fani ya Uchekeshaji nchini Tanzania, sehemu ya pili.

Sauti 20:19
Les comédiens de la pièce "Ala te sunogo / Dieu ne dort pas"
Les comédiens de la pièce "Ala te sunogo / Dieu ne dort pas" Grand Parquet

Tunaendelea na sehemu ya pili ya mada juu ya fani ya uchekeshaji nchini Tanzania, katika sehemu hii ya pili, Vuvuzela Company LTD inaendelea kutupasha kuhusu aina ya uchekeshaji inayojulikana kama "Stand - Up Comedy" au uchekeshaji inayotolewa kwa kuwa wima mbele ya umati wa watu. Sikiliza uburudike na uelimike.