Jua Haki Zako

Haki ya elimu kwa watu wenye ulemavu zaidi ya moja.

Sauti 09:40
Le transport de passagers handicapés est effectivement soumis à certaines règles.
Le transport de passagers handicapés est effectivement soumis à certaines règles. Getty Images/Yellow Dog Productions

Sote tunajua kuwa kuna watu wenye ulemavu, wa viungo, macho, masikio au akili. Je, wajua kuwa kuna watu wenye ulemavu zaidi ya moja? Kwa mfano, wale wasioweza kuona na kusikia, yote kwa pamoja. Na hao ni binadamu wenye haki ya kupata elimu, sikiliza walimu na wadau mbali mbali walio mstari wa mbele katika kutoa elimu kwa kundi la watu hao wenye ulemavu zaidi ya moja.