Afrika Ya Mashariki

Mjadala wa katiba mpya nchini Tanzania

Sauti 09:29
Makamu wa rais Dr Mohammed Gharib Bilal akimkabidhi rasimu ya katiba makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad pamoja na mwenyekiti wa tume Joseph Sinde Warioba.
Makamu wa rais Dr Mohammed Gharib Bilal akimkabidhi rasimu ya katiba makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad pamoja na mwenyekiti wa tume Joseph Sinde Warioba. RFI-KISWAHILI/Makundi

Kwenye makala ya Afrika ya Mashariki leo tunaangazia juu ya mjadala wakatiba mpya nchini Tanzania. Utawasikia viongozi wa vyama vya siasana serikali wakizungumzia juu ya mvutano unaoendelea nchini kuhusumuundo wa serikali ambapo chama tawala cha CCM kinataka serikali mbili, naupinzani unataka serikali tatu