Mjadala wa Wiki
Hali ya msuguano kati ya serikali ya Burundi na Umoja wa Mataifa
Imechapishwa:
Cheza - 15:08
Mjadala wa wiki Juma Hili tunajadili kuhusu hali ya msuguano kati ya serikali ya Burundi na Oifisi ya Umoja wa Mataifa nchini Bnub ambapo sasa aifsaa wa pili ya Umoja huo nchini humo amefukuzwa baada ya kukutwa na risase kwenye begi lake wakati akisafiri kuelekea nchini Kenya, Ungana na mtangazaji Ali Bilali na uchambuzi wa maswala ya siasa za kimataifa Abdulkarim Atiki