Jua Haki Zako

Ajira kwa watoto nchini Marekani sehemu ya pili.

Sauti 10:10
© savethechildren.net

Tukiendelea na mada ya wiki iliyopita, ajira kwa watoto kwenye mashamba ya tumbaku nchini Marekani. Sikiliza wadau wanatueleza nini kuhusu ripoti hiyo ya Human Right Watch.