Wimbi la Siasa

Mchakato wa katiba mpya nchini Tanzania waahirishwa kupisha uchaguzi 2015

Imechapishwa:

Wanasiasa wa vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania wameridhia kuahirishwa kwa mchakato  wa Katiba mpya ili kupisha uchaguzi wa mwaka 2015. Nini hatima ya siasa za Tanzania?

Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete akisalimiana na rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzubar, Dr Ali Mohamed Shein wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano
Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete akisalimiana na rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzubar, Dr Ali Mohamed Shein wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano Ikulu/Issa Michuzi