Kifo cha baba wa taifa la Tanzania

Sauti 09:24
Mji wa Dar es Salaam, nchini Tanzania.
Mji wa Dar es Salaam, nchini Tanzania. Getty Images/Ariadne Van Zandbergen

Makala haya ya Afrika ya Mashariki ambayo ni sehemu ya kwanza inaangazia kumbukumbu ya miaka 15 ya kifo cha mtetezi wa uhuru wa tanzania Julius Kambarage Nyerere.