Changu Chako, Chako Changu
Lugha inayowaunganisha wana Afrika Mashariki na Kati sehemu ya pili.
Imechapishwa:
Cheza - 21:16
Tunaendelea na mada juu ya Kiswahili kuwa lugha ya wengi Afrika Mashariki na Kati na duniani kwa ujumla. Sikiliza uhabarike na uelimike.