Afrika Ya Mashariki

Changamoto za kiusalama na elimu kwa maalbino

Imechapishwa:

Makala ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu ya changamoto za kiusalaama na elimu kwa walemavu wa ngozi (albino) waishio mikoa ya kanda ya ziwa magharibi mwa Tanzania.

Watu wenye ulemavu wa ngozi wanaendelea kukabiliwa na matatizo mengi.
Watu wenye ulemavu wa ngozi wanaendelea kukabiliwa na matatizo mengi. observers.france24.com