Gurudumu la Uchumi

Kikao cha viongozi wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki

Imechapishwa:

Vongozi wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wanakutana jijini Nairobi nchini Kenya kujadili maendeleo ya Jumuiya hiyo, ikiwa ni pamoja na kujadili mbinu za kupata fedha za kusaidia kufanikisha miradi ya Jumuiya hiyo.Tunaangazia hili katika Makala yetu juma hili ya Gurudumu la Uchumi.

Marais wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Marais wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
Vipindi vingine