Afrika Ya Mashariki

Malbino walengwa Tanzania

Sauti 09:41
Alfred Kapole, mwenyekiti wa shirika la malbino Mwanza,Tanzania.
Alfred Kapole, mwenyekiti wa shirika la malbino Mwanza,Tanzania. RFI / Julian Rubavu

Makala haya ya Afrika ya Mashariki yanaangazia juu ya changamoto za mauaji ya walemavu wa ngozi (Albino), ambayo yamekithiri katika kanda ya ziwa Magharibi mwa Tanzania.