Afrika Ya Mashariki

Changamoto za kiuchumi na maendeleo kwenye ukanda wa afrika ya mashariki

Imechapishwa:

Makala haya ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu ya changamoto za kiuchumi na maendeleo kwenye ukanda wa afrika ya mashariki. Katika makala haya watasikika baadhi ya raia wa Tanzania waishio maeneo ya mpakani, na pia mahojiano na waziri wa Tanzania kwenye jumuiya ya afrika ya mashariki Dr Harrison Mwakyembe akiangazia baadhi ya changamoto kwenye miradi ya kikanda inayoshirikisha jumuiya ya afrika ya mashariki.

waziri wa Tanzania kwenye jumuiya ya afrika ya mashariki Dr Harrison Mwakyembe (katikati), akiwa kwenye mpakani wa Tanzania eneo la Kabanga, Machi 22 mwaka 2015.
waziri wa Tanzania kwenye jumuiya ya afrika ya mashariki Dr Harrison Mwakyembe (katikati), akiwa kwenye mpakani wa Tanzania eneo la Kabanga, Machi 22 mwaka 2015. RFI / Julian Rubavu