Afrika Ya Mashariki

Hofu kwenye familia zenye walemavu wa ngozi

Sauti 09:24
Esther Jonas mama wa marehemu Yohana Bahati, mlemavu wa ngozi aliye uawa. Mama huyu yuko katika hospitali ya Bugando Referal Mwanza, Machi 11 mwaka 2015.
Esther Jonas mama wa marehemu Yohana Bahati, mlemavu wa ngozi aliye uawa. Mama huyu yuko katika hospitali ya Bugando Referal Mwanza, Machi 11 mwaka 2015. RFI / Julian Rubavu

Makala haya ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu ya hofu kwa familia zenye watu wenye ulemavu wa ngozi na jamii inayowazunguka  magharibi mwa Tanzania.