Mjadala wa Wiki

Kenya yataka kambi ya wakimbizi ya Daadab kufungwa

Sauti 22:12
Sehemu ya wakimbizi wa Somalia wanaopatiwa hifadhi kwenye kambi ya Daadab nchini Kenya
Sehemu ya wakimbizi wa Somalia wanaopatiwa hifadhi kwenye kambi ya Daadab nchini Kenya Reuters

Juma hili katika Mjadala wa wiki tunajadili agizo la serikali ya Kenya kutaka kambi ya wakimbizi ya Daadab iliyopo Kaskazini mwa nchi hiyo kufungwa kwa kipindi cha miezi  mitatu zijazo, kwa madai kuwa kambi hiyo inahatarisha usalama wa nchi hiyo.