Changu Chako, Chako Changu

CHANGU CHAKO CHAKO CHANGU 17TH JANUARY 2016

Sauti 20:43
Image générée à partir d'un modèle de peinture et d'une photo par DeepArt.
Image générée à partir d'un modèle de peinture et d'une photo par DeepArt. www.deepart.io

Ungana na Profesa Elias Jengo wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaam, nchini Tanzania akieleza aina za uchoraji zisizonukuliwa na jinsi zilivyokuwa na asili kutoka Afrika.