Jua Haki Zako

JUA HAKI ZAKO 01ST FEBRUARY 2016

Sauti 09:22
Page d'accueil du site d'Africanews. Le traitement numérique de l'information restera au coeur de la stratégie de développement de ce nouveau média basé au Congo-Brazzaville.
Page d'accueil du site d'Africanews. Le traitement numérique de l'information restera au coeur de la stratégie de développement de ce nouveau média basé au Congo-Brazzaville. capture d'acran Africanews

Wadau wa habari wanateta juu ya haki ya kupata taarifa, hususan kipindi cha uchaguzi 2015 nchini Tanzania, lakini pia namna jinsi vyombo vya habari vinavyofanya kazi zao kwa kufuata maadili ya kazi zao.