Habari RFI-Ki

Sudani Kusini mwanachama mpya wa EAC

Sauti 10:15
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir makamu wake wa kwanza  Riek Machar,wakiwa jijini Juba
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir makamu wake wa kwanza Riek Machar,wakiwa jijini Juba REUTERS/Stringer

Haya ni maoni ya wasikilizaji wa Afrika mshariki na kati, kuhusu Sudan Kusini kuwa mwanachama mpya wa jumuiya ya Afrika Mashariki, karibu