Habari RFI-Ki

Kifo cha rais wa zamani wa Burundi Jean Baptiste Bagaza chapokelewa vipi?

Imechapishwa:

Kufariki kwa kiongozi wa Burundi, Jean - Baptiste Bagaza, aliyekuwa rais wa pili wa nchi hiyo, Warundi wanamkumbuka na kumuenzi vipi kiongozi huyo? Wasikilizaji kutoka Afrika Mashariki na Kusini wanateta na kusema kuwa Bagaza alikuwa kiongozi mwenye busara na mpantanishi mkubwa kwenye taifa hilo la Burundi.

Aliyekuwa rais wa pili wa Burundi, Jean - Baptiste Bagaza, wa tatu kutoka kushoto.
Aliyekuwa rais wa pili wa Burundi, Jean - Baptiste Bagaza, wa tatu kutoka kushoto. ALEXANDER JOE / AFP