Changu Chako, Chako Changu

Historia na utamaduni wa mji wa Bagamoyo tokea karne ya 12.

Sauti 20:21
Eneo la Kaole, sehemu ya makumbusho iliyoko wilaya ya Bagamoyo
Eneo la Kaole, sehemu ya makumbusho iliyoko wilaya ya Bagamoyo Emmanuel Makundi - RFIkiswahili

Fuatilia sehemu ya kwanza tukitupia jicho baadhi ya mambo kutoka mjini Bagamoyo, mkoani Pwani, nchini Tanzania.