Changu Chako, Chako Changu

Historia na utamaduni wa mji wa Bagamoyo tokea karne ya 12 baada ya Yesu Kristu

Sauti 20:42
Eneo la Kaole, sehemu ya makumbusho iliyoko wilaya ya Bagamoyo
Eneo la Kaole, sehemu ya makumbusho iliyoko wilaya ya Bagamoyo Emmanuel Makundi - RFIkiswahili

Fuatilia sehemu ya pili tukiendelea kutupia jicho baadhi ya mambo kutoka Bagamoyo, nchini Tanzania.