Habari RFI-Ki

Maoni ya wasikilizaji wa RFI Kiswahili baada ya mazungumzo ya Warundi huko Arusha

Sauti 10:21
Wajumbe wa serikali ya Burundi katika mazungumzo ya Arusha
Wajumbe wa serikali ya Burundi katika mazungumzo ya Arusha EAC

Makala haya ya Habari Rafiki tunaangazia maoni ya waskilizaji kuhusu mkutano uliotamatika huko Arusha, uliokuwa ukijadili kuhusu mzozo wa Burundi.