Mjadala wa Wiki

Umuhimu wa viongozi wa Afrika kuheshimu mahakama maalumu ya Afrika

Sauti 11:21
ISSOUF SANOGO / AFP

Mjadala wa wiki juma ni kuhusu umuhimu wa mahakama maalumu ya Afrika yenye makao yake nchini Senegal, je ni kweli mahakama hii ndio itakuwa suluhu ya Afrika na mvutano wao na mahakama ya kimataifa ya ICC, muongozaji wa mjadala huu ni Emmanuel Makundi na wageni wake ni Mali Ali mchambuzi wa siasa za kimataifa na wakili Ojwan'g Agina akiwa Nairobi nchini Kenya.